Friday, April 19, 2013

DJ JAAH RUD MAARUFU KAMA DJ OMBA.

Huyu nimoja kati ya madj wenye uzoefu wa hali yajuu hususani maswala mazima ya utafutaji vipaji.
BIG UP kaka kwamchango wako wasanaa kagera tunakutakia mafanikio mema usichoke kutulusha kiroyera kila jpili kwenye CARIBBEAN PART ,mpe hi dj x fire.

No comments:

Post a Comment