Friday, April 19, 2013

DJ X FIRE, MWANA DADA ANAEKUJA JUU KWENYE MASWALA YA U DJ.

Mwana dada huyu huwa anapatikana pande za kiroyera beach kila juma pili, DJ X FIER ni binti anaekuja juu sana na kuonekana tishio kwa madj wakonge hapa mjini bukoba, dj x fire ni mwanafunzi sauti tawi la bukoba mwaka wa kwanza.

No comments:

Post a Comment