"SIONI TATIZO KWA LULU MICHAEL KUPIGA PICHA NA PENNY....HUO NI UMBEA WA MAGAZETI"..WEMA SEPETU...!!
Hivi karibuni zilisambaa picha za Lulu Michael akiwa katika picha ya pamoja na Penny....
Picha hizo zilizua utata mkubwa
miongoni mwa watu huku kundi kubwa likidai kuwa picha hizo
zimepigwa makusudi kwa lengo la kumuumiza Wema Sepetu...
Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na mmojawapo wa mbwa wake.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Wema alisema hawezi kukaa
zaidi ya siku tatu bila kuwaona mbwa wake hao kwani amewazoea kwa kuwa
humuondolea ‘stress’ za hapa na pale.
“Juzikati nilikwenda Arusha
mara moja tu siku hiyohiyo nikawa nawakumbuka Ivan na Gucci mpaka nikawa
natamani kurudi kwa ajili yao, kusema kweli hawa ndiyo kila kitu
kwangu,” alisema Wema na kuongeza:
“Nimewazoea lakini wao pia ndiyo
zaidi, hawataki kubanduka pindi ninaporudi kutoka katika kazi zangu, mtu
akiwachukua tu umewakorofisha,” alisema Wema
No comments:
Post a Comment