Wednesday, April 17, 2013

KAGERA KWETU


KAGERA KWETU MAGAZINE MARCH KUTANA NA MSS UTALII .
Add photo text
KAGERA KWETU MAGAZINE 
MARCH KUTANA NA MSS UTALII KAGERA
Hili kanisa limmechukua taklibani miaka 17 likifanyiwa ukalabati.
kiongozi ambaye atakumbukwa daima, nimuafrka wa kwanza.
Umati wawakatoliki ukiuto mwili wa rugambwa kashozi ,kuupeleka kanisa kuu jimbo la bukoba mjini.
MWILI WA RUGAMBWA UKIWAUNAZIKWA
MH, UHURU MUIGAI KENYATTA AKIJIANDAA KULA KIAPO.
RAISI WA TANZANIA MH JAKAYA KIKWETE AKISALIMIANA NA RAISI MSTAAFU WA KENYA MH KIBAKI.
WANANCHI WAKENYA WAKITAZAMA GWALIDE TAYALI KWA KUAPISHWA RAISI WAO MPYA
BAADA YA KUTUA KWENYE UWANJA WA NDEGE WA TAIFA MH JAKAYA AKIELEKEA SEHEM YA KUTIA SAINI
MAELFU YA WATU WAKIWEKA MAUA KWENYE KABURI LA KANUMBA
WENGIWAO WALIOKUA MSTARI WA MBELE NIWASANII

ASKOFU MPYA ASIMIKWA BUKOBA.

ASKOFU RWOMA ALIZALIWA 1974 KATIKA PAROKIA YA RUTABO KAMACHUMU ;NIPAROKIA MOJA NA MWADHAMA LAULEAN KARDINALI RUGABWA.

KARIBU BUKOBA

TUNAKUTAKIA MAJUKUMU MEMA KATIKA KUTANGAZA NENO LA MUNGU, KARIBU SANA BUKOBA
YA NDUGU WAMAREHEM GENERALI MAKAME RASHID WAKIWA KATIKA MAOMBOLEZO

No comments:

Post a Comment