Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile
kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume katika nyumba ya wageni ya
super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae
inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu alijikuta hana
sehemu zake za siri
mama alipoteza sehemu zake za siri kwa mujibu wa maelezo yake
anamtafuta mwanaume ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma amrudishie
sehemu zake za siri
umati mkubwa wa watu walifurika maeneo ya stand kuu bukoba kushuhudia tukio la aina yake
duniani kuna majanga na hili janga
masikini mama wa watu hana tena sehemu zake nyeti
umati mkubwa uliokuja kumshuhudia mama aliepoteza sehemu zake za siri,baada ya kumuibia mwanaume
umati ulikuja kumuona mama alipoteza sehemu zake za siri
baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo ya tukio na kumchukua
huyo mama,tunafanya jitihada za kumpata msemaji wa jeshi la police,na
ikibidi taarifa rasmi ya daktari
ni stand kuu bukoba leo
msomaji kuna mengi ya kujifunza hapa
panda mama tukifika huko tutajua zipo au zimetoweka...
majanga jamani ......
mama alipoteza sehemu za siri akipelekwa polisi
No comments:
Post a Comment