Kwa mujibu wa mwandishi aliye na waasi wa m23, Diana Katabarwa kwenye Blog
yake anamnukuu kiongozi wa kisiasa wa M23 Mr. Bisimwa
akiwambia wakazi wa North Kivu kuwa majeshi ya Tanzania na South
Africa nimajeshi dhalimu yaliyo jaa rushwa na hayawezi kuibadili Congo....
Bisimwa
anadai kwamba majeshi ya Tanzania yamekuja kuiba mali na
kumsaidia KABILA awatawale hali itakayosababisha jeshi lake
la FDLR na waasi wa MAI MAI wapewa nafasi ya kuwa pora mali zao na
kuwabaka wake zao na watoto....
Mbali na hayo, bwana Busimwa anadai kinyume na taarifa zilivyo , kikosi cha jeshi la
Tanzania kikiwa na askari 450 kimesha ingia mashariki ya CONGO kwenye
mji wa UVIRA SOUTH KIVU huku Kamanda wao (TPDF) akiwa mjini Goma.
No comments:
Post a Comment