,ameitaka serikali kuchukua hatua kuhakikishi milio ya kupokelea simu yenye maudhui ya kidini pale unapompigia mtu simu isitishwe nara moja....
Mh.Mbatia ameyasema hayo leo bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani.
Mh.Mbatia ametoa mfano kwamba hata sasa unaweza kumpigia simu afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi na utakuta simu yake inatoa mlio wenye maneno au ujumbe wa dini yake.Mh.Mbatia alitoa mfano wa maneno kama "pepo toka" maneno ambayo mtu huyasikia pale unapompigia mtu simu na kudai kuwa yanachochea vurugu za kidini na kuleta mgawanyiko miongoni mwa watanzania.
No comments:
Post a Comment