Hii inadhihirisha ni jinsi gani bunge letu haliheshimiwi na mataifa mengine kwa sasa.....
Kushuka kwa heshima ya bunge kulikuja baada ya Mh. serukamba kutukana tusi la nguoni " Come on FU* K YOU " bila kuchukuliwa hatua yoyote.....
Katuni hii imechorwa na mkenya
ambaye ni mchora maaarufu wa katuni nyingi na kusambaa katika
mitandao mbalimbali.......
Katuni hii inamuonesha Serukamba akimkojolea Spika huku akichekelea na wabunge wengine wakitandika bia
No comments:
Post a Comment