Friday, April 19, 2013

HATIMAE MASHINDANO YAKUTAFUTAVIPAJI YAMALIZIKA.

Mashindano yakutafuta vipaji vya uimbaji school bash of talent kagera season two hatimae yamekamilika jumapili iliyopita,mashinano hayo yalio anzishwa mwakajana katika viwanja vya coffee tree in nakumalizikia katika ukumbiwa LINAZ ,yamekua chachu yamaendeleo kwavijana walioko mashuleni hususani wale wenye vipaji vyakuimba, mwakajana kampuni inayoandaa mashindano hayo SLOPE PROMO ENTERTAINMENT ,iliibua vipaji vya vijana wawili Baila pomoja na Young Tyter ambao waliweza kurecord nyimbo katika studio za Tang reccord ,nyimbo hizo zina fanyavizuri kwenye vituo mbalimbali vyaredio hapa mkoani kagera.Mashindano hayo safarihii yalidhaminiwa kwakiasikikubwa na Tang reccord, wakishirikiana na kiroyera tours,vilevile walikuwepo wadhamini wangine kama zachwa envestment,kasibante fm, frank computer, kagerakwetu magazine na chanel four.Akiongea na kagerakwetu mratibu wa mashindano hayo Joyce Lobozi alidaikua mashindano hayo safari hii yamechelewa kumalizika kutokana sababu mbalimbali ikiwemo wadhamini kusuasua ,lakini sababu nyingine niwanafunzi ambaondio walengwa kuwepo kwenye masoma.vilevile aliwasihi wadau mbalimbali kujitokeza kudhamini mashindano hayo kwani kwakufanyahivyo tunaweza kuokoa vipaji vyavijana.Washindi wa safari hii ni jackson john upande wakurap na upandewa kucheza melida jonh.Kagerakwetu tunawatakia baraka zote washindi na waandaji.

No comments:

Post a Comment