Tuesday, September 24, 2013

WADAU KATIKA HIZO HARAKATI


Mghani mahiri wa mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto na kulia ni Bw.Faustine Ruta 
Kushoto ni Mghani mahiri wa mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto katikati ni Bw. Jamco Jamal Kalumuna wa blog ya Jamcobk na kulia ni Bw.Faustine Ruta  mwandishi wa mtandao wa www.bukobasports.com kwenye picha ya pamoja
Mdau wa michezo na mwanamichezo wa sports extra wa Clouds Fm (kushoto) Bw. Shaffih Dauda na kulia ni Bw.Faustine Ruta .

No comments:

Post a Comment