Tuesday, September 24, 2013

FURSA KWA VIJANA YAPOKELEWA KWA SHANGWE BUKOBA MJINI WENDA VIJANA WATANUFAIKA

Mdau wa michezo na mwanamichezo wa sports extra wa Clouds Fm (kushoto) Bw. Shaffih Dauda akiteta jambo na Mrisho Mpoto na (katikati) ni Ruge Mtahaba Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group mapema na kabla ya semina kuanza kwenye ukumbi wa Lina's Club Bukoba mjini.
Mghani mahiri wa mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto akizungumza kwa msisitizo,masuala ya fursa mbalimbali zinazopatikana katika suala la Ujasiliamali mapema mchana wa leo kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club Bukoba Mjini.Semina hiyo iliyoandaliwa na Clouds Media Group,imefadhiriwa na shirika la NSSF;Zantel,MaxMalipo, Lake Oil.
Ruge Mtahaba Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group

Bw. Willy O.Ruta wa Kiroyera Tours kushoto alikuwa mmoja wa wageni maalum waliokuwa

No comments:

Post a Comment