Wednesday, September 18, 2013

HAYA SASA BEACH PART HIYOOOOOOOOO

Kwa muda mrefu hapa mjini bukoba ule utamaduniwetu wakukutana sehem moja hasa kwenye fukwe zaziwa victoria umekua adimu, lakini kwa sasa inafulahisha kuona umeludi kwa kasi yajabu,Bog entertainment kwakushirikiana na wadau mbalimbali wakiongea na kagerakwetumagazineblogspot wamedai kua wamejipanga vyema kuhakikisha wanafanya vitu tofauti ,ukiacha beach part iliyofanyika hivi kalibuni kweye viwanja vya maruku beach sasa wameamua kusogeza kalibu kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za usalama zaidi .kwa wale wapenzi wa burudani nazani jina BOG litakua sio geni masikioniomwao na wanafahamu ninikinachofanyika pindi waandaapo matamasha .kazi kwenu wakazi wa bukoba na vitongoji vyake .

No comments:

Post a Comment