Wednesday, August 7, 2013

kitendaguro waipa kichapo miembeni 2-0

kikosi cha timu ya miembeni kilicho tolewa na timu ya kitendaguro maarufu kaka makirikiri, timu ya makirikiri ambayo imezidi kujijengea umaarufu kutokana na kile kisichotegemewa imeipachika goli mbili sifuri timu ya miembeni maarufu kama mabishoo wa mjini ,pole sana kaka jamco nadhani tutakutana mwakani cha msingi nikujipanga vilivyo mpepole Rukia Kasmu Da Mainda wadau wa MTK bar bila kumsahau Lily TIGO.....

No comments:

Post a Comment