Friday, June 14, 2013

MSANII AFANDE SELE AICHANA SERIKALI IRUHUSU BANGI ILI VIJANA WASIJIINGIZE KWENYE MADAWA YA KULEVYA




 Msanii Afande Sele ameichana serikali kwa kuwaambia waruhusu bangi na waache kuingiza madawa ya kulevya kwa sbabu yanaua,amesema bora serikali ipitishe bangi watakuwa wanalipa .Amesema atasimama mataifa yote kutangaza ilo ameuliza hivi ni nani alishawai kusikia mtu amekufa kwa kuvuta bangi na mbona langa na mangwair zaman walikuwa wanavuta bangi lakin walivyojiingiza kwenye madawa ya kulevya ndio wakapoteza maisha.
Afande sele alisema maneno hayo alipohojiwa na Kasibante fm ya Mjini Bukoba mara tu baada ya kifo cha msanii Langa kutangazwa


No comments:

Post a Comment