Thursday, June 20, 2013

MBOWE NA LEMA WAJISALIMISHA POLISI LEO KWA MAHOJIANO ZAIDI..!!


Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wamejisalimisha wenyewe leo asubuhi  katika kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhojiwa.

No comments:

Post a Comment