Saturday, June 22, 2013

HUYU NDIYE MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI YA TUMBO NA MAJAMBAZI USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO YOMBO...!!

ALEX ROBERT AKIWA KATIKA POZI WAKATI WA MAPUMZIKO.



WANAFUNZI WA CHUO HICHO MWAKA WA NNE PAMOJA NA MKUU WA KITOVO CHA SHERIA PROFESA BONAVENTURE RUTINWA WAKIMWOMBEA MWENZAO AENDELEE KUWA SALAMA NA UPASUAJI HUO UFANYIKE VIZURI KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR ES SALAAM JUNI 21.


WANAFUNZI WA CHUO HICHO MWAKA WA NNE WAKIONESHA MSHIKAMANO WAKISUBIRI MWENZAO ALEX ROBERT AKIWA THIETA WAKATI WA OPERESHENI KATIKA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI  

ALEX ROBERT KULIA AKIWA NA RAFIKI ZAKE

No comments:

Post a Comment