Kwanza
kulikuwa na tetesi kuwa huenda Clouds Fm wakafanya show nyingine siku
hiyo, kitu ambacho Ruge Mutahaba alikifafanua vizuri kwa kusema mtu
ukiwa na shughuli haimaanishi kuwa wengine wasifanye shughuli nyingine
kama hiyo.
Lakini sasa kuna jingine ambalo limejitokeza, na amelisema mwenyewe Lady JayDee....
Kupitia akaunti yake ya Twitter Jide ameandika:

No comments:
Post a Comment