Tukio hilo lililonaswa laivu na gazeti hili lilitokea maeneo ya
Kijitonyama, jijini Dar, usiku wa saa 8:00, mwishoni mwa wiki iliyopita
ambapo madenti hao walipokea kibano ‘hevi’ kutoka kwa Polisi Jamii.
Kipondo: Madenti hao baada ya
kusurubiwa na Polisi Jamii.
KERO
“Unajua walikuwa kero sana. Yaani asubuhi kukicha utakuta mipira ya kiume imetapakaa kila sehemu. Mbaya zaidi utakuta watoto wakicheza mchana wanaokota hiyo mipira ya kiume na kupuliza kama puto,” alisema shuhuda mmoja aliyeamshwa na makelele ya warembo hao wakati wakila kibano.
“Unajua walikuwa kero sana. Yaani asubuhi kukicha utakuta mipira ya kiume imetapakaa kila sehemu. Mbaya zaidi utakuta watoto wakicheza mchana wanaokota hiyo mipira ya kiume na kupuliza kama puto,” alisema shuhuda mmoja aliyeamshwa na makelele ya warembo hao wakati wakila kibano.
Aliendelea: “Unajua wakikaa hapa ni hatari tupu kwani wanaume
wanaokuja kuwafuata wanaweza wakatudhuru kwa sababu hatuwajui.
MALALAMIKOKatika tukio hilo, walinzi hao wakiwa kwenye doria, walipokea malalamiko kwa mara 1000, kutoka kwa kigogo huyo akiomba msaada wa kuwaondoa warembo hao getini kwake wanaodaiwa kujiuza eneo hilo.
LENGO KUMNASA KIGOGO
Habari nyingine zilieleza kuwa wadada hao wamekuwa wakiweka mitego yao nje ya nyumba hiyo ikidaiwa kwamba lengo ni kumnasa kigogo huyo ili kumuuzia biashara yao kwa kuwa ni ‘mkataji’ mzuri wa mkwanja.
Mbali na hilo, pia ilidaiwa kuwa wanaume wapenda ngono rejareja na hatarishi huwafuata eneo hilo kupata huduma yao.
Ilidaiwa kuwa walinzi hao walielezwa kuwa katika kukuza biashara hiyo haramu, warembo hao wamekuwa wakiwabugudhi wakazi wa eneo hilo hadi kufikia hatua ya kuwagongea madirishani na kusimamisha magari hovyo.
WAONESHA NYETI
Huku wakijua wamepata wateja, kundi la kinadada hao wakiwa na vinguo vya kimitego na wengine kujifunua na kubaki nusu utupu ili kuwaonesha wanausalama hao nyeti zao wakijua ni wateja ndipo wakakutwa na kasheshe hilo.
KIBANO
Wanausalama hao, bila kuchelewa waliwazingira warembo hao na kuwanasa kisha kuwapa kibano lakini katika purukushani hiyo wengine walifanikiwa kupata upenyo na kuchoropoka.
No comments:
Post a Comment