Tuesday, May 21, 2013

"HIVI WEWE ZITTO KABWE UNADHANI UNASTAHILI KWELI KUWA RAIS ?"....LOVENESS DIVA


Baada  ya  kutangaza  kumpiga  chini  Mh.Zitto Kabwe, Loveness  Diva  ameamua  kumchokonoa  tena  kwa  kumkejeli  kuhusu  uamuzi  wake  wa kugombea Urais.....

Huu  ni ujumbe wake aliouweka instagram: 

 ".Ivi  kwa akili yako unadhani  unastahili  kweli  kuwa Rais mteule wa taifa  hili....??

No comments:

Post a Comment