Ugomvi wa chini chini kati ya Chid benz na Ney wa mitego sasa umefikia pabaya.....
Juzi Ney wa mitego alionja kichapo
toka kwa mashabiki katika show yake mbagala....Inadaiwa kwamba
Varangati hilo lilitokana na madai yake kwamba Chid benz ni
shoga na ametoboa pua kama dem....
Mapema mchana huu
Chidi Benz amefunguka kupitia ukurasa wake ya Facebook na kumtaka NEEMA WA MITEGO(Neema ni jina la kike ) aache kumtukana wala kumwandika message zozote.....Vinginevyo ataendelea kuambulia kichapo
Hii ni post yake kupitia kagerakwetumagazine.blogspot.com
No comments:
Post a Comment