Tuesday, May 21, 2013

Breaking news: Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA




Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.


No comments:

Post a Comment