Wednesday, August 7, 2013

MZEE WETU WASIKU NYINGI AFARIKI DUNIA TARONI .




Katika hari ya kusikitisha mzee maarufu mtaa wa matopeni kata ya kashai bukoba mjini amefariki dunia majira ya saa tano asubuh ,marehem anaye fahamika kwa jina la Tumaini amepotezamaisha wakati akiwa kweye shugurizake za kawaida zakuzibua mifereji ,kagerakwetumagazine tunamfahamu vizuri mzee huyu kwani malanyingi hukaanae sana kwenye vijiwe vya kahawa ,ingawa chanzo chakifo chake hakija thibitiswa vizuri ila habari tulizo nazo nikua alishukwa na sukari mwilini ,poleni wakazi wamatopeni hasa wana chama wenzetu wanywaji wakahawa pole mzee Katocho kwakuondokewa na mtuwako wa karibu ,pole bonge , pole mzee Abasi tunazidi kupoteza wazee katika chama chetu cha kahawa ikiwa nisiku chache tangu tumpoteze mzee Bwikizo. kagerakwetumagazine.blogspot.com tutazidi kukupatia habari zaidi.

No comments:

Post a Comment