Nikiwa
katika pita pita zangu, nimeshtushwa sana na kauli za KIHUNI za
Rais Paul Kagame dhidi ya Rais wetu Kikwete na nchi yetu kwa
ujumla....
Rais
Kikwete ameepuka malumbano na Kagame kwa kukaa kimya , lakini
inaelekea Kagame anadhani ukimya wa Kikwete ni uoga kwake au labda
anatafsiri kuwa anadharauliwa.....
Nadhani
huu ni wakati mwafaka kwetu sisi watanzania kuungana na
kumuunga mkono rais wetu juu ya huu UPUMBAVU wa Kagame....
Kagame
ni lazima atambue kwamba watanzania tupo tayari kuilinda nchi
yetu kwa gharama yoyote na kamwe hatuwezi kuwa VIBARKA wa
Rwanda...
Ifuatayo ni Kauli ya Kihuni aliyoitoa Rais Kagame Kwa Taifa letu:
-------------------------------------------------------------
.....“Those
people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with
Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations?
Me, I do not even discuss this topic, because
I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the
right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete]
did not deserve my answer.
I
did not waste my time answering him…It is well known. There is a line
you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross.
It is impossible…”“
It
is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul
Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete,
while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”“, sponsored by his wife, Janet Kagame.
Relations
between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have
soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called
the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”.
The
relations have deteriorated following the recommendation by President
Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and
Congolese leaders and their respective armed opposition in order to
bring durable peace and security in the African Great Lakes region....
No comments:
Post a Comment