Saturday, June 8, 2013

MSHINDI WA KUTWEET WAZO JIPYA LA KUONDOA UMASKINI APATIKANA NA KUKABIDHIWA MILLION MOJA

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi
 akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja
 mshindi wa kwanza wa shindano la,  "Tweet Wazo 
Jipya Kuondoa Umaskini", Jilly Gaudence Kyomo katika 
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Kushoto ni  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Institute Of Management
 and Enterprenuership, Dkt. Donath Olomi. 
Kulia ni mshindi wa pili, Peter George aliyejinyakulia
 shilingi laki tano na mwanafunzi wa
 chuo cha CBE, Ludovick Angelino, ambaye ni 
mshindi wa tatu aliyejinyakulia shilingi laki tatu

Dkt.Reginald Mengi,ameanzisha kampeni kupitia 
twitter inayoitwa "tweet wazo jipya kuondoa umaskini"inayotaka
 mtanzania yeyote kumtweet Reginald mengi  tweet yenye wazo zuri juu ya namna ya
 kuondoa umaskini nchini na mtu atakaye tweet
 itakayomgusa huyo ndiye atakuwa mshindi wa million 1 ,mshindi
 atakuwa akipatikana kila mwezi.
Hongera Bwana Mengi kwa kuja na wazo jema kama hilo.

No comments:

Post a Comment