Mshindi wa taji la Redds Miss Kagera 2013 Maria Tubeti akifurahia kutwaa taji hilo lililokuwa limeshikiliwa na Miss Talent Tanzania Babylove Kalalaa aliyeshinda mwaka jana 2012.
Eeeee jamani Hongera kwa kushinda...
Warembo wote 14 wa Redd's Miss kagera 2013 wakitambulishwa
Washiriki wa Shindano la redd's miss Kagera 14 wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Majaji walianza kutaja Tano Bora hapa.(Kutoka kulia ni jaji Abella Kamala mtangazaji wa Radio Kasibante fm, jaji wa katikati ni Bi Beata na wa kushoto ni Jaji Edgar)
Tano Bora
Maria Tubeti akijibu swali
Warembo waliochagulia tano bara wakiwa na tabasamu baada ya kutajwa na kusonga mbele
Miss aliyeachia taji lake leo hii ambaye pia ni Miss Talent Tanzania Babylove Kalalaa
Majaji wakitaja Mshindi wa tatu, wa pili na ..
Jaji Bi. Beata akitaja mshindi wa Redd's miss kagera..
Miss anayeachia taji Babylove Kalalaa na Miss Redd's Kagera 2013 Maria Tubeti wakikumbatiana kupongezana baada ya kuwabwaga wenzie 14 usiku huu kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club.
Warembo kwenye Pozi..(kushoto) ni Miss Redd's Belinda Rupenda aliyeshinda Talent
matukio mengine yanafata..
No comments:
Post a Comment