Sunday, June 16, 2013

Kutokana na mlipuko wa bomu katika mkutano wa CHADEMA, uchaguzi waarishwa jijini Arusha.

Kutokana na mlipuko wa bomu katika mkutano wa chadema uliotokea jana katika viwanja vya soweto kaloleni. uliogharimu maisha ya watu kadhaa na zaidi ya watu 40 kujeruhika, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania amehairisha uchaguzi mdogo katika kata za jiji la Arusha mpaka tarehe 30/jun/2013.

No comments:

Post a Comment