Wednesday, June 12, 2013

HIVI NDIYO INAVYOKUA KIROYERA BEACH KILA JUMA PILI

HAWA NIMOJA YA WADAU WANAO HUSIKA ZAIDI KATIKA UANDAAJI WA TAMASHA HILI ,TAMASHA HILI LINAFANYIKA KILA JUMAPILI KWENYE VIWANJA KIROYERA LENGO NIKUWAWEKA VIJANA WAISHIO MJINI BUKOBA KALIBU ZAIDI, TAMASHA LINADHAMINIWA NA KIROYERA TOURS, IMAGE SOUND, TANG STUDIO KAGERAKWETUMAGAZINE.BLOGSPOT.COM NA SLOPE PROMO ENTERTAINMENT.

No comments:

Post a Comment