Saturday, June 8, 2013

CASH MONEY NI NOMA! WAMNUNULIA DRAKE BUGATI VEYRON. ICHEKI HAPA

HII NI KUTOKA KUNDI MOJA MAARUFU SANA NDANI YA PANDE ZA OBAMA, SI KUNDI JINGINE BALI NI YOUNG MONEY /  CASH MONEY. KUNDI HILI HUSIFIKA SANA KWA MEMBER WAKE KUMILIKI VITU VYA THAMANI MFANO MAGARI. NA KAMA INAVYOJULIKANA LILI WAYNE NA BIRDMAN WANAMILIKI MAGARI MENGI TU YA THAMANI. WOTE HAWA WAWILI WANAMILIKI BUGATI VEYRON. SASA BAADA YA KUKAA KAMA KUNDI WAKAONA SI VIBAYA  WAKIMNUNULIA BUGATI VEYLON DRAKE KWANI AMEKUA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUNDI LAO. UNAWEZA ITAZAMA GARI HIYO HAPO CHINI. KWA SASA GARI HII NI MALI YA DRAKE.

No comments:

Post a Comment