WAASI WA M23 WATISHIA KUTUVAMIA MUDA WOWOTE....SERIKALI YA MKOA WA KAGERA YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI
Serikali ya Mkoa wa Kagera imewatahadharisha wananchi wake kuepukana na wageni wasiowafahamu kwenye maeneo yao kutokana na tishio la kikosi chaM 23 cha nchini Congo DRC kinachotishia kuivamia Tanzania...
Kumekuwa na mapigano makali kati ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali nchini Congo ambako jeshi letu lipo huko...
Waasi
hao wametishia kuivamia Tanzania muda wowote ili kulipiza
kisasi.Miongoni mwa mipaka ambayo iko wazi ni Kagera, na hii ndo sababu
iliyopelekea serikali ya Mkoa huo kutoa tahadhari kwa wananchi wake
na watanzania kwa ujumla....
No comments:
Post a Comment