USIKOSE KUPITIA KAGERAKWETU MAGAZINE BLOG KUPATA MATUKIO MBALIMBALI KATISA SIASA,MICHEZO,UDAKU,UCHUMI ,UTALII NA UTAMADUNI.KWA MAWASILIANO ZAIDI 0764 179271
Wednesday, May 1, 2013
VIDEO MODEL
Inafurahisha kuona bongo ya sasa nikama mtoni couz mabishostiwetu wame pruvu kinoma longtime swala la video model ilikua mgogolo na milolongo milefu ,nakumbuka miaka yanyuma usinge weza kupata binti wakufanyanae video, kwasasa mambo kama mtoni watoto wameelewa na wamejielewa kua wana husika katika kupamba video za wasanii, pamoja na kuuza sura vilevile kazi ta model imekua kama ajira ,hiyo ni dar vipi mabishosti wa kagera wana weza ?au bado wanasubili mpaka wapewe ruhusa na wazazi wao kazikwenu sasa. nisamehe sister edina sikuweza kuja hapo chuo ila by next time naibuka tu siunajua michakato ya magazine ina nimake biziiiiii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment