Kumekuwepo
na sintofahamu kuhusu hali ya msanii M To The P ambae alikuwa rafiki wa
karibu wa marehemu Albert Mangwea a.k.a Ngwair, msanii huyu inasemekana
alikuwa na marehemu wakitumia pombe kali na madawa ya kulevya na
kujikuta wanazima wote katika chumba kimoja na kukimbizwa St.Hellen
Hospital ambapo umauti ulimfika Ngwair.
Kwa
...
No comments:
Post a Comment