Kupitia
season mpya ya Clouds Fm, ndani ya so so fresh na fetty, Mh Halima
Mdee jana amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa
kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja.
aah
unajua huwezi kuzuia watu kusema, na mimi huwa sihangaiki na watu
wanasema nini, lakini ukitaka kumjua Halima unaweza ukamchunguza
kirahisi sana, kwa kumuangalia alipotoka, historia yake na mahusiano
yake, ambayo mengine ni wazi sana watu walikuwa wanayajua,
watu
wanapenda ku speculate pale ambapo wanaona kitu ambacho hawati kuona,
sasa hilo swala lilishaandikwa sana, nadhani walioandika baadae wakaja
kuomba radhi kwasababu waligundua wameandika kitu kisicho sahihi,
probably kutokana na sauti yangu you know, probably kutokana na tembea
yangu, kwasababu mimi nimekulia kwenye familia ya wanaume watupu umeona
eeh, mimi nimekuwa ni mpambanaji tokea utotoni, kwasababu nimezungukwa
na jeshi la kibabe, thats who iam, lakini mtu anaetaka kumjua Halima na
ana uhuru tu, hata akitaka niwatajie list ya watu wangu i can do that,
lakini sidhani kama is their damn business, cause ma life is personal,
na wakitaka kuchunguza wachunguze kwa mpango wao na watapata taarifa,
kwa uhuru tu, na wanaweza wakatoa tangazo kwamba jamani watu waliowahi
kuwa na uhusiano na huyu if any wajitokeze, watajitokeza kama wapo
upande huo, watajitokeza kwasababu sasa hivi si dunia huru bana ......
No comments:
Post a Comment