HABARI NJEMA: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 YAFUTWA, SASA YATASAHIHISHWA UPYA NA KUTOLEWA TENA HIVI KARIBUNI...!!
Habari kutoka bungeni ni kwamba matokeo yote ya kidato cha nne yamefutwa na yatasahihishwa upya haraka iwezekanavyo.. Taarifa ya tume iliyoundwa na waziri mkuu
kuchunguza sababu za kufeli vibaya kwa watahiniwa wa kidato cha nne imesomwa bungeni leo na mh.LUKUVI. LUKUVI amesema sababu zilizosababisha wanafunzi wafeli ni upungufu wa
waalimu, mazingira magumu a kufundishia, idadi kubwa ya shule za
sekondari iliyopelekea idadi kubwa ya watahiniwa na utaratibu mbovu wa baraza la mitihani uliotumika bila kuwashirikisha wadau wa elimu Mh.
LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi
kwa kufuata STANDARDTIONS na CONTINOUS ASSESMENTS. ...Hivyo basi, matokeo hayo YAMEFUTWA na YATASAHIHISHWA UPYA
No comments:
Post a Comment