Taarifa
kutoka ndani ya TFF zimeeleza, Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa)
limeandika barua ambayo imeshatua Fifa tayari kuwarejesha Malinzi,
Wambura na wengine waliokuwa wanagombea.
Uongozi wa TFF unatarajia kuzungumza muda mfupi ujao kuanzia sasa katika ofisi zake katika eneo la Ilala jijini Dar es Salaam.
Tayari
Salehjembe ametega masikio kuhusiana na kitakachotokea na atatutaarifu
kama ni hiki kutoka ndani au kutakuwa na mabadiliko.
No comments:
Post a Comment