Monday, May 6, 2013

BREAKING NEWS :RUGE MUTAHABA AJIBU TUHUMA ZA LADY JAYDEE








Meneja wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.
Akizungumza muda mfupi uliopita katika kipindi cha Power Breakfast, Meneja wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ameelezea yafuatayo kuhusiana na tuhuma zilizotolewa na msanii Judith Wambura 'Lady Jaydee' wiki iliyopita:
-Asema vita ya Lady Jaydee ameielekeza sehemu isiyo sahii kama tatizo ni Bendi ya SkyLight basi apambane kuipiku bendi hiyo na si kugombana na watu wengine
-Awaasa wasanii kukubali kupokezana vijiti na kujiandaa kwa maisha yajayo
-Aelezea Clouds ilipomtoa Jaydee mpaka sasa alipo
-Aaamua siku ya leo kutopigwa muziki wa Bongo Flava
-Asema kuwa Clouds ni chombo binafsi kina maamuzi ya kufanya chochote pasipo kuvunja sheria
-Asema siyo vizuri watu kuchafuana katika mitandao ya kijamii, kama kuna tatizo ni vyema kuonana na muhusika ili kumaliza tatizo


No comments:

Post a Comment