Wednesday, May 8, 2013

BREAKING NEWS: Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.

Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo lina dhamana.

habari zaidi tutazidi kuwajulisha muda mfupi ujao

No comments:

Post a Comment