MWANAMUZIKI WA BONGO FLEVA NEY WAMITEGO, AMEWASHITUA WASANII WENZIE KWAKUINGIZA KIPIRA CHENYE GHARAMA YA HALI YA JUU SAWA NA MUIGIZAJI MAARUFU WEMA SEPETU,NEY WAMITEGO AMBAYE AMENUNUA GARI AINA YA MARK X, YENYE THAMANI YA MILION 35 VILEVILE AMENUNUA BASTORA KWAAJILIYA ULINZI BINAFSI.
No comments:
Post a Comment