Leo katika kagerakwetu magazineblogspot, tulibahatika kutembelea shule ya msingi mafumbo, shule hii nimojakati yashule zinazofanya vizuri katika shule za kata zilizopo wilayayetu hii,kamatunavyo elewa selikari yetu inachangamoto hasa upande waelimu kuanzia majengo, madawati nk,katika shule hii walimu na wazazi kwakushilikiana na taasisi mbalimbali wamefanikiwa kujenga madara mawili ,mbali na madarasa shule hii imekua tofauti na shulenyingine za kata nivigumu kukuta shule inaumeme maji yauhakika nk.lakini kwa wadau waishio mjini bukoba huwezi kushangaa palipo na mama huyu mpambanaji ambaye tumezoea kumuona sehem mabalimbali zinazo husu maendeleo, last time tulimuona kwenye mashindano ya kutafuta vipaji kwawanafunzi akiwa kama jaji lakini kwa upande mwingine akiwa mkurugenzi wa kampuni iliyo andaa mashindano hayo inayojulikana kama SLOPE PROMO ENTERTAINMENT.vilevile tumemshuhudia akiwa mmoja wawaandaaji wa jarida la KAGERA KWETU MAGAZINE linalo toka kila mwezi,mbali na hayo ni MC katika shelehe mbalimbali.tulijalibu kumuuliza anawezavipi ku mudu shughulizote hizo alidaikua kilakitu ni mipango anafanikiwa kwababu yatalatibu alizojiwekea lakini kikubwa ni ushirikiano mzuri baina yake nawatu walio mzunguka hasa walimu wenzie, KAGERAKWETUMAGAZINE BLOGSPOT tunamfananisha mama huyu na madam litta au joyce kilia kwa harakati zake za kuleta maendeleo pasipokujali niainagani ya kazi. tuna watakia mafanikio mema katika ujenziwenu wa madarasa.
No comments:
Post a Comment