USIKOSE KUPITIA KAGERAKWETU MAGAZINE BLOG KUPATA MATUKIO MBALIMBALI KATISA SIASA,MICHEZO,UDAKU,UCHUMI ,UTALII NA UTAMADUNI.KWA MAWASILIANO ZAIDI 0764 179271
Friday, April 26, 2013
MASHINDANO YA REDD,S MISS DAR INDIAN OCEAN 2013 YAPAMBA MOTO
REDD,S MISS INDIAN OCEAN 2013 SASA MASHINDANO HAYO YAMIFIKIA KATIKA HATUA NZURI ,MASHINDANO HAYO YANATALAJIA KUFANYIKA TAREHE 30 APRIL, KWENYE UKUMBI WANATIONAL MUSEM, JUMLA YAWAREMBO 11 WATACHUANA VILIVYO SIKUHIYO, MASHINDANO HAYO YANAANDALIWA NA KAMPUNI YA B/HITZ GROUP L.M.T YAMEDHAMINIWA NA REDD,S ORIGINAL,TIME,S,NYUMBANI LOUNGE,CLUB BILICANAS NAWENGINE KIBAO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment