MASHINDANO YA KUMTAFUTA REDD,S MISS DAR INDIAN OCEAN KWASASA YAMEFIKIA KATIKA HATUA YAMWISHO WAKATI WAREMBO 11 WAKIWAWAMEJIPANGA VYAKUTOSHA.MASHINDANO HAYO YATAFANYIKA APRIL 30 KWENYE UKUMBI WA NATIONAL MUSEUM SIKU YA JUMANNE.YANAANDALIWA NA B/HITZ GROUP L.T.D NAKUDHAMINIWA NA REDD,S ORIGIONAL, TIME,S FM,NYUMBANI LOUNGE,CLUB BILICANAS NAWENGINE KIBAO.
No comments:
Post a Comment