Wednesday, April 24, 2013

LEO KAGERA KWETU MAGAZINEBLOGSPOT TUNAANGAZIA SHULE YA MSINGI MAFUMBO.



Shule yamsingi mafumbo ipo kataya kashai wilaya kukoba mji, nimoja kati ya shule zinazo ongoza kwakufanya vizuri katika mkoa wakagera, mbali na kua mstari wambele kinacho furahisha zaidi ni jinsi hali ya walimu kwakushikiana na taasisi mbalimbali wanavo jali shulehiyo, shule ina maji yakutosha ina umeme vyoo vipo katika hali nzuri nayakulizisha, walimu washule hiyo wanajitahidi kuwaweka wana funzi katika maadili ya mazuri,shule hiyo ambayo kwasasa ipokwenye mchakato wakujenga madarasa mawili ,ujenzi huo ambao kwasasa upo kwenye hatua za mwisho nguvukubwa imetoka kwawadau na wazazi wawanafunzi washule hiyo .

No comments:

Post a Comment