USIKOSE KUPITIA KAGERAKWETU MAGAZINE BLOG KUPATA MATUKIO MBALIMBALI KATISA SIASA,MICHEZO,UDAKU,UCHUMI ,UTALII NA UTAMADUNI.KWA MAWASILIANO ZAIDI 0764 179271
Wednesday, April 24, 2013
KASHAI YA SASA SIO YAENZI ZA KINA MZEE KIBOKO .
Huu ndio muonekano wa mpya wa kashai ,nitofauti na miakaileya wazee wetu ,kwawale wazee wenzangu nadhani mnakumbuka ,haliya majengo ilikua katika muonekano wataabani watu ustaarabu ulikua sifuli .kwasasa tumeona mabadiliko makubwa kuanzia majengo barabara na hata watu kuelimika,wingi wa hotel zakisasa maduka ya kuvutia na hata magorofa vinafanya kata hii iendelee kua juu zaidi,pongezi kwenu wana kashai ingawa wengine hatukonao R.I.P mzee bwikizo ,mzee matoke na wengine wengi.vilevile tunawashukuru wazee walio tulea mzee kikoti ,mzee abasi wa kahawa ,mzee asumani kiboko na dr alexanda ndyamukama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment