Waziri
wa MAmbo ya Ndani ya NChi, EMmanuel NChimbi, ameliagiza jeshi la
polisi kuanzia IGP, RPC, OCD na OCS kuwachukulia hatua wale wote
wanaoendesha mihadhara ya kidini yenye kuchochea vurugu na mifarakano
katika jamii. ...
Nchimbi
amesema kuwa kiongozi yeyote ambaye atabainika kutochukua hatua licha
ya taarifa kuripotiwa kwake basi atakwenda na maji.. ...
Kauli
hiyo ameitoa jijini dar es salaam jana wakati akiongea na
wawakilishi wa viongozi wa dini na vyombo jeshi la polisi mkoa wa dar
es salaam
Waziri Nchimbi amewatahadhalisha vijana wanaoshinda
kwenye mitandao na wanaotumia simu kutuma ujumbe wenye lengo la
kuhamasisha chuki za kidini. Amesema kuwa kuanzia sasa serikali
itachukua hatua stahiki
Chanzo: taarifa ya habari ya TBC1 ( saa nne asubuhi)

No comments:
Post a Comment