Akizungumza bila kupepesa macho, Mheshimiwa Kessy alisema kuwa baadhi ya waheshimiwa wa kike ndani ya mjengo wanatumia vipodozi ambavyo vina madhara makubwa kwa afya ya mtumiaji.
USIKOSE KUPITIA KAGERAKWETU MAGAZINE BLOG KUPATA MATUKIO MBALIMBALI KATISA SIASA,MICHEZO,UDAKU,UCHUMI ,UTALII NA UTAMADUNI.KWA MAWASILIANO ZAIDI 0764 179271
Tuesday, May 14, 2013
KASHFA YA WABUNGE WA KIKE KUJICHUBUA YAIBUA MJADALA MZITO...!
KUMBE! Baadhi ya wabunge wa kike ndani
ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatumia vipodozi
vinavyochubua ngozi ya juu ya mwili ili wawe na mwonekano mweupe (kama
wazungu).
Kauli
hiyo ya kushangaza ilitolewa bungni Mei 9, mwaka huu na Mbunge wa
Nkasi Kaskazini, Ally Kessy wakati alipokuwa akichangia Bajeti ya
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu udhibiti wa dawa kwa Mamlaka ya
Chakula na Dawa Tanzania (TFDA).
Akizungumza bila kupepesa macho, Mheshimiwa Kessy alisema kuwa baadhi ya waheshimiwa wa kike ndani ya mjengo wanatumia vipodozi ambavyo vina madhara makubwa kwa afya ya mtumiaji.
Akizungumza bila kupepesa macho, Mheshimiwa Kessy alisema kuwa baadhi ya waheshimiwa wa kike ndani ya mjengo wanatumia vipodozi ambavyo vina madhara makubwa kwa afya ya mtumiaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment